Zaburi 146:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Pumzi yake inapomtoka, anarudi katika udongo wake, Siku iyo hiyo mipango yake hutoweka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Binadamu akitoa pumzi yake ya mwisho, anarudi mavumbini alimotoka; na hapo mipango yake yote hutoweka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Binadamu akitoa pumzi yake ya mwisho, anarudi mavumbini alimotoka; na hapo mipango yake yote hutoweka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Binadamu akitoa pumzi yake ya mwisho, anarudi mavumbini alimotoka; na hapo mipango yake yote hutoweka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Roho yao itokapo hurudi mavumbini, siku hiyo hiyo mipango yao yote hukoma. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Roho yao itokapo hurudi mavumbini, siku hiyo hiyo mipango yao yote hukoma. Tazama sura |
Bali umejiinua juu ya Bwana wa mbingu; nao wamevileta vyombo vya nyumba yake mbele yako; na wewe, na wakuu wako, na wake zako, na masuria wako, mmevinywea; nawe umeisifu miungu ya fedha na ya dhahabu na ya shaba, na ya chuma, na ya mti, na ya mawe; wasioona, wala kusikia, wala kujua neno lolote; na Mungu yule, ambaye pumzi yako i mkononi mwake, na njia zako zote ni zake, hukumtukuza.