Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 146:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

2 Nitamsifu BWANA muda ninaoishi, Nitamwimbia Mungu wangu ningali ni hai.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Nitamsifu Mwenyezi-Mungu maisha yangu yote; nitamwimbia Mungu wangu muda wote niishipo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Nitamsifu Mwenyezi-Mungu maisha yangu yote; nitamwimbia Mungu wangu muda wote niishipo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Nitamsifu Mwenyezi-Mungu maisha yangu yote; nitamwimbia Mungu wangu muda wote niishipo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Nitamsifu Mwenyezi Mungu maisha yangu yote; nitamwimbia Mungu wangu sifa wakati wote ningali hai.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Nitamsifu bwana maisha yangu yote; nitamwimbia Mungu wangu sifa wakati wote niishipo.

Tazama sura Nakili




Zaburi 146:2
6 Marejeleo ya Msalaba  

Nitamwimbia BWANA maadamu ninaishi; Nitamshangilia Mungu wangu nikiwa hai;


Ndivyo nitakavyokubariki maadamu ni hai; Kwa jina lako nitaiinua mikono yangu.


Sikieni, enyi wafalme; tegeni masikio, enyi wakuu; Mimi, naam mimi, nitamwimbia BWANA; Nitamhimidi BWANA, Mungu wa Israeli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo