Zaburi 146:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 BWANA atamiliki milele, Mungu wako, Ee Sayuni, kwa vizazi vyote. Haleluya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Mwenyezi-Mungu atawala milele, Mungu wako, ee Siyoni, ni mfalme vizazi vyote! Msifuni Mwenyezi-Mungu! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Mwenyezi-Mungu atawala milele, Mungu wako, ee Siyoni, ni mfalme vizazi vyote! Msifuni Mwenyezi-Mungu! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Mwenyezi-Mungu atawala milele, Mungu wako, ee Siyoni, ni mfalme vizazi vyote! Msifuni Mwenyezi-Mungu! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Mwenyezi Mungu atamiliki milele, Mungu wako, ee Sayuni, kwa vizazi vyote. Msifuni Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 bwana atamiliki milele, Mungu wako, ee Sayuni, kwa vizazi vyote. Msifuni bwana. Tazama sura |