Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 145:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

8 BWANA ni mwenye fadhili na huruma, Si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa rehema,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Mwenyezi-Mungu ni mwenye huruma na rehema; hakasiriki ovyo, amejaa fadhili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Mwenyezi-Mungu ni mwenye huruma na rehema; hakasiriki ovyo, amejaa fadhili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Mwenyezi-Mungu ni mwenye huruma na rehema; hakasiriki ovyo, amejaa fadhili.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Mwenyezi Mungu ni mwenye neema na mwingi wa huruma, si mwepesi wa hasira, bali ni mwingi wa upendo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 bwana ni mwenye neema na mwingi wa huruma, si mwepesi wa hasira, bali ni mwingi wa upendo.

Tazama sura Nakili




Zaburi 145:8
14 Marejeleo ya Msalaba  

Maana BWANA ni mwema; Rehema zake ni za milele; Na uaminifu wake katika vizazi vyote.


BWANA amejaa huruma na neema, Haoni hasira upesi, ni mwingi wa fadhili.


BWANA ni mwenye neema na haki, Naam, Mungu wetu ni mwenye rehema.


Lakini Wewe, Bwana, U Mungu wa rehema na neema, Mvumilivu, mwingi wa fadhili na kweli.


Kwa maana Wewe, Bwana, U mwema, Umekuwa tayari kusamehe, Na mwingi wa fadhili, Kwa watu wote wakuitao.


Rehema na msamaha ni kwa Bwana Mungu wetu, ingawa tumemwasi;


Akamwomba BWANA, akasema, Nakuomba, Ee BWANA; sivyo hivyo nilivyosema, hapo nilipokuwa katika nchi yangu? Hii ndiyo sababu nilifanya haraka kukimbilia Tarshishi; kwa maana nilijua ya kuwa wewe u Mungu mwenye neema, umejaa huruma, si mwepesi wa hasira, u mwingi wa rehema, nawe waghairi mabaya.


BWANA ni mpole wa hasira, mwingi wa rehema, mwenye kusamehe uovu na makosa, naye hatamfanya mwenye hatia kuwa hana makosa kwa njia yoyote; mwenye kuwapatiliza wana kwa uovu wa baba zao, katika kizazi cha tatu na cha nne.


Na usifiwe utukufu wa neema yake, ambayo ametuneemesha katika huyo Mpendwa.


Naye alituzidishia hiyo katika hekima yote na ujuzi;


Lakini Mungu, kwa kuwa ni mwingi wa rehema, kwa mapenzi yake makuu aliyotupenda;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo