Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 145:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

18 BWANA yuko karibu na wote wamwitao, Wote wamwitao kwa uaminifu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Mwenyezi-Mungu yuko karibu na wote wanaomwomba, wote wanaomwomba kwa moyo mnyofu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Mwenyezi-Mungu yuko karibu na wote wanaomwomba, wote wanaomwomba kwa moyo mnyofu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Mwenyezi-Mungu yuko karibu na wote wanaomwomba, wote wanaomwomba kwa moyo mnyofu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Mwenyezi Mungu yu karibu na wote wamwitao, karibu na wote wamwitao kwa uaminifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 bwana yu karibu na wote wamwitao, karibu na wote wamwitao kwa uaminifu.

Tazama sura Nakili




Zaburi 145:18
20 Marejeleo ya Msalaba  

Ee BWANA, Wewe U karibu, Na maagizo yako yote ni kweli.


Heri wazitiio shuhuda zake, Wamtafutao kwa moyo wote.


Ee BWANA, usikie haki, ukisikilize kilio changu, Utege sikio lako kwa maombi yangu, Yasiyotoka katika midomo ya hila.


BWANA yu karibu nao waliovunjika moyo, Na huwaokoa waliopondeka roho.


Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.


Mungu yu katikati ya mji hautatetemeshwa; Mungu atausaidia asubuhi na mapema.


Sadaka ya mtu mbaya ni chukizo kwa BWANA; Bali maombi ya mtu mnyofu ni furaha yake.


Ndipo utaita, na BWANA ataitika; utalia, naye atasema, Mimi hapa. Kama ukiiondoa nira; isiwepo kati yako, wala kunyosha kidole, wala kunena maovu;


Ulinikaribia siku ile nilipokulilia; Ukasema, Usiogope.


Wala hawakunililia kwa moyo, lakini wanalalamika vitandani mwao; hujikutanisha ili kupata nafaka na divai; huniasi mimi.


Ole wenu Waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnawafungia watu ufalme wa mbinguni; ninyi wenyewe hamwingii, wala wanaoingia hamwaachi waingie.


Yesu akajibu, akamwambia, Mtu akinipenda, atalishika neno langu; na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake, na kufanya makao kwake.


Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.


Kwa maana liko taifa gani kubwa, lililo na Mungu aliye karibu nao, kama BWANA Mungu wetu alivyo kila tumwitapo?


Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi. Itakaseni mikono yenu, enyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu, enyi wenye nia mbili.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo