Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 144:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

5 Ee BWANA, uziinamishe mbingu zako, ushuke chini. Uiguse milima ili nayo itoe moshi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Uinamishe mbingu zako, ee Mwenyezi-Mungu, ushuke chini! Uiguse milima nayo itoe moshi!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Uinamishe mbingu zako, ee Mwenyezi-Mungu, ushuke chini! Uiguse milima nayo itoe moshi!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Uinamishe mbingu zako, ee Mwenyezi-Mungu, ushuke chini! Uiguse milima nayo itoe moshi!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Ee Mwenyezi Mungu, pasua mbingu zako, ushuke, gusa milima ili itoe moshi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Ee bwana, pasua mbingu zako, ushuke, gusa milima ili itoe moshi.

Tazama sura Nakili




Zaburi 144:5
8 Marejeleo ya Msalaba  

Aitazamaye nchi, ikatetemeka; Aigusaye milima, ikatoka moshi.


Akapanda juu ya kerubi akaruka, Naam, aliruka upesi juu ya mabawa ya upepo.


Aliziinamisha mbingu akashuka, Kukawa na giza kuu chini ya miguu yake.


Mlima wa Sinai wote pia ukatoa moshi, kwa sababu BWANA alishuka katika moto; na ule moshi wake ukapanda juu kama moshi wa tanuri, mlima wote ukatetemeka sana.


Maana hamkufikia mlima uwezao kuguswa, uliowaka moto, wala wingu jeusi, na giza, na tufani,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo