Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 144:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

3 Ee BWANA, mtu ni kitu gani hata umjali? Na binadamu hata umwangalie?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Ee Mwenyezi-Mungu, mtu ni nini hata umjali? Mwanadamu ni nini hata umfikirie?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Ee Mwenyezi-Mungu, mtu ni nini hata umjali? Mwanadamu ni nini hata umfikirie?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Ee Mwenyezi-Mungu, mtu ni nini hata umjali? Mwanadamu ni nini hata umfikirie?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Ee Mwenyezi Mungu, mwanadamu ni nini hata umjali, Binadamu ni nini hata umfikirie?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Ee bwana, mwanadamu ni nini hata umjali, Binadamu ni nini hata umfikirie?

Tazama sura Nakili




Zaburi 144:3
7 Marejeleo ya Msalaba  

Je! Mwanadamu ni kitu gani, hata akawa safi? Huyo aliyezaliwa na mwanamke, hata awe na haki?


Je! Mtu ni kitu gani, hata ukamtukuza, Na kumtia moyoni mwako,


Mtu ni kitu gani hata umkumbuke, Na binadamu hata umwangalie?


Umemfanya mdogo kuliko Mungu; Umemvika taji la utukufu na heshima;


Mwacheni mwanadamu ambaye pumzi yake iko katika mianzi ya pua yake; kwa maana wanafaa kitu gani?


Mwanadamu ni nini hata umkumbuke, Ama mwana wa binadamu, hata umwangalie?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo