Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 144:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

15 Heri watu wenye hali hiyo, Heri watu wenye BWANA kuwa Mungu wao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Heri taifa ambalo limejaliwa hayo! Heri taifa ambalo Mungu wao ni Mwenyezi-Mungu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Heri taifa ambalo limejaliwa hayo! Heri taifa ambalo Mungu wao ni Mwenyezi-Mungu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Heri taifa ambalo limejaliwa hayo! Heri taifa ambalo Mungu wao ni Mwenyezi-Mungu!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Heri watu ambao hili ni kweli; heri wale ambao Mwenyezi Mungu ni Mungu wao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Heri watu ambao hili ni kweli; heri wale ambao bwana ni Mungu wao.

Tazama sura Nakili




Zaburi 144:15
7 Marejeleo ya Msalaba  

Hata walipokuja Hezekia na wakuu, na kuyaona yale mafungu, wakamhimidi BWANA, na watu wake Israeli.


Heri ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake, Na tumaini lake ni kwa BWANA, Mungu wake,


Heri taifa ambalo BWANA ni Mungu wao, Watu aliowachagua kuwa urithi wake.


Heri mtu yule umchaguaye, Na kumkaribisha akae nyuani mwako. Na tushibe wema wa nyumba yako, Patakatifu pa hekalu lako.


Heri watu wale waijuao sauti ya shangwe, Ee BWANA, waendao, katika nuru ya uso wako.


Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa roho, ndani yake Kristo;


U heri, Israeli. Ni nani aliye kama wewe, taifa lililookolewa na BWANA! Ndiye ngao ya msaada wako, Na upanga wa utukufu wako; Na adui zako watajitiisha chini yako, Nawe utapakanyaga mahali pao pa juu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo