Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 144:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

10 Awapaye wafalme wokovu, Amwokoa Daudi, mtumishi wake, na upanga wa uovu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 wewe uwapaye wafalme ushindi, umwokoaye Daudi mtumishi wako!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 wewe uwapaye wafalme ushindi, umwokoaye Daudi mtumishi wako!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 wewe uwapaye wafalme ushindi, umwokoaye Daudi mtumishi wako!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 kwa Yule awapaye wafalme ushindi, ambaye humwokoa Daudi, mtumishi wake, kutokana na upanga hatari.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 kwa Yule awapaye wafalme ushindi, ambaye humwokoa Daudi, mtumishi wake kutokana na upanga hatari.

Tazama sura Nakili




Zaburi 144:10
12 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Naamani, jemadari wa jeshi la mfalme wa Shamu, alikuwa mtu mkubwa mbele ya bwana wake, na mwenye kuheshimiwa, kwa sababu kwa mkono wake BWANA alikuwa amewapa Washami kushinda; tena alikuwa mtu hodari wa vita; lakini alikuwa mwenye ukoma.


Kwa ajili ya Daudi, mtumishi wako, Usiurudishe nyuma uso wa masihi wako.


Ee MUNGU Bwana, nguvu za wokovu wangu, Umenifunika kichwa changu siku ya vita.


Ee BWANA, usimpe asiye haki tamaa zake, Usiifanikishe hila yake, wasije wakajiinua.


Ampa mfalme wake wokovu mkuu, Amfanyia fadhili masihi wake, Daudi na wazawa wake hata milele.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo