Zaburi 144:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Na ahimidiwe BWANA, mwamba wangu, Aifundishaye mikono yangu vita, Na vidole vyangu kupigana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Atukuzwe Mwenyezi-Mungu, mwamba wangu, anayeipa mikono yangu mazoezi ya vita, na kuvifunza vidole vyangu kupigana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Atukuzwe Mwenyezi-Mungu, mwamba wangu, anayeipa mikono yangu mazoezi ya vita, na kuvifunza vidole vyangu kupigana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Atukuzwe Mwenyezi-Mungu, mwamba wangu, anayeipa mikono yangu mazoezi ya vita, na kuvifunza vidole vyangu kupigana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Ahimidiwe Mwenyezi Mungu Mwamba wangu, aifundishaye mikono yangu vita, na vidole vyangu kupigana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Sifa ni kwa bwana Mwamba wangu, aifundishaye mikono yangu vita, na vidole vyangu kupigana. Tazama sura |