Zaburi 142:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Nitafunua mbele zake malalamiko yangu, Shida yangu nitaitangaza mbele zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Namwekea malalamiko yangu, namweleza taabu zangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Namwekea malalamiko yangu, namweleza taabu zangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Namwekea malalamiko yangu, namweleza taabu zangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Namimina malalamiko yangu mbele zake, mbele zake naeleza shida zangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Namimina malalamiko yangu mbele zake, mbele zake naeleza shida zangu. Tazama sura |