Zaburi 141:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Sala yangu ipae mbele zako kama uvumba, Kuinuliwa mikono yangu kama dhabihu ya jioni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Sala yangu uipokee kama ubani; niinuapo mikono yangu kwako unikubali kama tambiko ya jioni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Sala yangu uipokee kama ubani; niinuapo mikono yangu kwako unikubali kama tambiko ya jioni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Sala yangu uipokee kama ubani; niinuapo mikono yangu kwako unikubali kama tambiko ya jioni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Maombi yangu na yafike mbele zako kama uvumba; kuinua mikono yangu juu na kuwe kama dhabihu ya jioni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Maombi yangu na yafike mbele zako kama uvumba; kuinua mikono yangu juu na kuwe kama dhabihu ya jioni. Tazama sura |