Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 140:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

8 Ee BWANA, usimpe asiye haki tamaa zake, Usiifanikishe hila yake, wasije wakajiinua.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Ee Mwenyezi-Mungu, usiwape waovu wanayotaka; wala mipango yao mibaya usiifanikishe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Ee Mwenyezi-Mungu, usiwape waovu wanayotaka; wala mipango yao mibaya usiifanikishe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Ee Mwenyezi-Mungu, usiwape waovu wanayotaka; wala mipango yao mibaya usiifanikishe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Ee Mwenyezi Mungu, usiwape waovu matakwa yao, usiache mipango yao ikafanikiwa, wasije wakajisifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Ee bwana, usiwape waovu matakwa yao, usiache mipango yao ikafanikiwa, wasije wakajisifu.

Tazama sura Nakili




Zaburi 140:8
7 Marejeleo ya Msalaba  

Mtu mmoja akamwambia Daudi ya kwamba, Ahithofeli yu katika hao waliopatana na Absalomu; Daudi akasema, Ee BWANA, nakusihi, uugeuze ushauri wa Ahithofeli uwe ubatili.


Awapaye wafalme wokovu, Amwokoa Daudi, mtumishi wake, na upanga wa uovu.


Usinitie katika nia ya watesi wangu; Maana mashahidi wa uongo wamenijia, Nao watoao jeuri kama pumzi.


Isipokuwa niliogopa makamio ya adui, Adui zao wasije wakafikiri uongo, Wasije wakasema, Mkono wetu umetukuka, Wala BWANA hakuyafanya haya yote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo