Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 140:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

6 Nimemwambia BWANA, Ndiwe Mungu wangu; Ee BWANA, uisikie sauti ya dua zangu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Namwambia Mwenyezi-Mungu, “Wewe ndiwe Mungu wangu.” Usikilize, ee Mwenyezi-Mungu, sauti ya ombi langu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Namwambia Mwenyezi-Mungu, “Wewe ndiwe Mungu wangu.” Usikilize, ee Mwenyezi-Mungu, sauti ya ombi langu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Namwambia Mwenyezi-Mungu, “Wewe ndiwe Mungu wangu.” Usikilize, ee Mwenyezi-Mungu, sauti ya ombi langu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Ee Mwenyezi Mungu, ninakuambia, “Wewe ni Mungu wangu.” Ee Mwenyezi Mungu, usikie kilio changu na kunihurumia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Ee bwana, ninakuambia, “Wewe ni Mungu wangu.” Ee bwana, usikie kilio changu na kunihurumia.

Tazama sura Nakili




Zaburi 140:6
18 Marejeleo ya Msalaba  

Haleluya. Nampenda BWANA kwa kuwa anaisikiliza Sauti yangu na dua zangu.


BWANA ndiye aliye fungu langu, Ninaahidi kuyatii maneno yake.


Bwana, uisikie sauti yangu. Masikio yako na yaisikilize Sauti ya dua zangu.


Utazame mkono wangu wa kulia ukaone, Kwa maana sina mtu anijuaye. Makimbilio yamenipotea, Hakuna wa kunitunza roho.


BWANA, nimekuita nikasema, Ndiwe kimbilio langu, Fungu langu katika nchi ya walio hai.


Ee BWANA, uisikie sala yangu, uzisikilize dua zangu Unijibu Kwa uaminifu wako, Unijibu kwa haki yako.


Nimemwambia BWANA, Ndiwe BWANA wangu; Sina wema ila utokao kwako.


Lakini mimi nakutumaini Wewe, BWANA, Nimesema, Wewe ndiwe Mungu wangu.


Ee Mungu, moyo wangu ni thabiti, Moyo wangu ni thabiti. Nitaimba, nitaimba kwa sauti nzuri,


Mungu, uisikie sauti yangu katika malalamiko yangu; Unilinde uhai wangu kutoka kwa hofu ya adui.


Atasema, BWANA ndiye kimbilio langu na ngome yangu, Mungu wangu nitakayemtumaini.


Kilio na kisikiwe kitokacho katika nyumba zao, hapo utakapoleta kikosi juu yao kwa ghafla; kwa maana wamenichimbia shimo waninase, nao wameifichia miguu yangu mitego.


BWANA ndiye fungu langu, husema nafsi yangu, Kwa hiyo nitamtumaini yeye.


Nami nitalileta fungu lile la tatu na kulipitisha kati ya moto, nami nitawasafisha kama fedha isafishwavyo, nami nitawajaribu kama dhahabu ijaribiwavyo; wataliitia jina langu, nami nitawasikia; mimi nitasema, Watu hawa ndio wangu; nao watasema, BWANA ndiye Mungu wangu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo