Zaburi 140:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Ee BWANA, unilinde Kutoka kwa mikono ya mtu asiye haki; Unihifadhi na watu wajeuri; Waliopanga kuniangusha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Ee Mwenyezi-Mungu, unilinde na makucha ya wabaya; unikinge na watu wakatili ambao wamepanga kuniangusha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Ee Mwenyezi-Mungu, unilinde na makucha ya wabaya; unikinge na watu wakatili ambao wamepanga kuniangusha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Ee Mwenyezi-Mungu, unilinde na makucha ya wabaya; unikinge na watu wakatili ambao wamepanga kuniangusha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Ee Mwenyezi Mungu, niepushe na mikono ya waovu; nilinde na watu wenye jeuri wanaopanga kunikwaza miguu yangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Ee bwana, niepushe na mikono ya waovu; nilinde na watu wenye jeuri wanaopanga kunikwaza miguu yangu. Tazama sura |