Zaburi 140:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Makaa ya moto yawaangukie, watupwe motoni, Na katika mashimo, wasipate kusimama tena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Makaa ya moto yawaangukie; watumbukizwe mashimoni, wasiinuke tena. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Makaa ya moto yawaangukie; watumbukizwe mashimoni, wasiinuke tena. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Makaa ya moto yawaangukie; watumbukizwe mashimoni, wasiinuke tena. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Makaa ya mawe ya moto na yawaangukie! Na watupwe motoni, katika mashimo ya matope, wasiinuke tena kamwe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Makaa ya mawe ya moto na yawaangukie! Na watupwe motoni, katika mashimo ya matope, wasiinuke tena kamwe. Tazama sura |