Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 140:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

1 Ee BWANA, uniokoe kutoka kwa watu waovu. Unihifadhi kutoka kwa watu wajeuri.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Ee Mwenyezi-Mungu, uniokoe na watu wabaya, unikinge na watu wakatili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Ee Mwenyezi-Mungu, uniokoe na watu wabaya, unikinge na watu wakatili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Ee Mwenyezi-Mungu, uniokoe na watu wabaya, unikinge na watu wakatili.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Ee Mwenyezi Mungu, niokoe, kutoka kwa watu waovu; nilinde na watu wenye jeuri,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Ee bwana, niokoe, kutoka kwa watu waovu; nilinde na watu wenye jeuri,

Tazama sura Nakili




Zaburi 140:1
8 Marejeleo ya Msalaba  

Msingiziaji hatawekwa imara katika nchi, Mtu wa jeuri, uovu humwinda kumwangamiza.


Ee BWANA, unilinde Kutoka kwa mikono ya mtu asiye haki; Unihifadhi na watu wajeuri; Waliopanga kuniangusha.


Inuka, Ee BWANA, umkabili, umwangushe, Kwa upanga wako uniokoe nafsi yangu na mtu mbaya.


Huniponya na adui zangu; Naam, waniinua juu yao walioniinukia, Na kuniponya na mtu mjeuri.


Ee Bwana, unihukumu, unitetee kwa taifa lisilo haki, Uniokoe kutoka kwa mtu wa hila asiye haki.


Ee Mungu wangu, uniponye mkononi mwa mkorofi, Katika mkono wake mwovu na mdhalimu,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo