Zaburi 139:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Ningezitwaa mbawa za asubuhi, Na kukaa pande za mwisho za bahari; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Nikiruka hadi mawio ya jua, au hata mipakani mwa bahari, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Nikiruka hadi mawio ya jua, au hata mipakani mwa bahari, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Nikiruka hadi mawio ya jua, au hata mipakani mwa bahari, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Nikipanda juu kwa mabawa ya mapambazuko, nikikaa pande za mbali za bahari, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kama nikipanda juu ya mbawa za mapambazuko, kama nikikaa pande za mbali za bahari, Tazama sura |