Zaburi 139:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Maarifa hayo ni ya ajabu, yanishinda mimi, Hayadirikiki, siwezi kuyafikia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Maarifa yako yapita akili yangu; ni makuu mno, siwezi kuyaelewa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Maarifa yako yapita akili yangu; ni makuu mno, siwezi kuyaelewa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Maarifa yako yapita akili yangu; ni makuu mno, siwezi kuyaelewa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Maarifa haya ni ya ajabu mno kwangu, ni ya juu sana kwangu kuyafikia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Maarifa haya ni ya ajabu mno kwangu, ni ya juu sana kwangu kuyafikia. Tazama sura |