Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 139:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 Maana hamna neno katika ulimini wangu Usilolijua kabisa, BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Kabla sijasema neno lolote, wewe, ee Mwenyezi-Mungu, walijua kabisa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Kabla sijasema neno lolote, wewe, ee Mwenyezi-Mungu, walijua kabisa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Kabla sijasema neno lolote, wewe, ee Mwenyezi-Mungu, walijua kabisa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Kabla neno halijafika katika ulimi wangu, wewe walijua kikamilifu, Ee Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Kabla neno halijafika katika ulimi wangu, wewe walijua kikamilifu, Ee bwana.

Tazama sura Nakili




Zaburi 139:4
13 Marejeleo ya Msalaba  

Ni nani huyu atiaye ushauri giza Kwa maneno yasiyo na maarifa?


Ni nani huyu afichaye ushauri bila maarifa? Kwa maana, nimesema maneno nisiyoyafahamu, Mambo ya ajabu ya kunishinda mimi, nisiyoyajua.


Wewe utanena maneno haya hadi lini? Maneno ya kinywa chako yatakuwa kama upepo mkuu hadi lini?


Maneno ya kinywa changu, Na mawazo ya moyo wangu, Yapate kibali mbele zako, Ee BWANA, Mwamba wangu, na mwokozi wangu.


kwa sababu wametenda upumbavu katika Israeli, nao wamezini na wake za jirani zao, nao wamenena maneno ya uongo kwa jina langu, nisiyowaamuru; nami ndimi nijuaye, nami ni shahidi, asema BWANA.


Kisha itakuwa wakati ule, nitauchunguza Yerusalemu kwa taa; nami nitawaadhibu watu walioganda juu ya masira yao; wasemao katika mioyo yao, BWANA hatatenda mema, wala hatatenda mabaya.


Mtu akidhani ya kuwa anayo dini, wala hauzuii ulimi wake kwa hatamu, ili hali akijidanganya moyo wake, dini yake mtu huyo haifai.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo