Zaburi 139:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Giza nalo halikufichi kitu, Bali usiku huangaza kama mchana; Giza na mwanga kwako ni sawasawa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 kwako giza si giza hata kidogo, na usiku wangaa kama mchana; kwako giza na mwanga ni mamoja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 kwako giza si giza hata kidogo, na usiku wangaa kama mchana; kwako giza na mwanga ni mamoja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 kwako giza si giza hata kidogo, na usiku wang'aa kama mchana; kwako giza na mwanga ni mamoja. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 hata giza halitakuwa giza kwako, usiku utang’aa kama mchana, kwa kuwa giza ni kama nuru kwako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 hata giza halitakuwa giza kwako, usiku utang’aa kama mchana, kwa kuwa giza ni kama nuru kwako. Tazama sura |