Zaburi 139:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Huko nako mkono wako utaniongoza, Na mkono wako wa kulia utanishika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 hata huko upo kuniongoza; mkono wako wa kulia utanitegemeza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 hata huko upo kuniongoza; mkono wako wa kulia utanitegemeza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 hata huko upo kuniongoza; mkono wako wa kulia utanitegemeza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 hata huko mkono wako utaniongoza, mkono wako wa kuume utanishika kwa uthabiti. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 hata huko mkono wako utaniongoza, mkono wako wa kuume utanishika kwa uthabiti. Tazama sura |