Zaburi 138:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Ingawa BWANA yuko juu, anamjali mnyenyekevu, Naye amjua mwenye kujivuna tokea mbali. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Ingawa wewe ee Mwenyezi-Mungu, uko juu ya wote, unawaangalia kwa wema walio wanyonge; nao wenye kiburi huwaona kutoka mbali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Ingawa wewe ee Mwenyezi-Mungu, uko juu ya wote, unawaangalia kwa wema walio wanyonge; nao wenye kiburi huwaona kutoka mbali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Ingawa wewe ee Mwenyezi-Mungu, uko juu ya wote, unawaangalia kwa wema walio wanyonge; nao wenye kiburi huwaona kutoka mbali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Ingawa Mwenyezi Mungu yuko juu, humwangalia mnyonge, bali mwenye kiburi yeye anamjua kutokea mbali. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Ingawa bwana yuko juu, humwangalia mnyonge, bali mwenye kiburi yeye anamjua kutokea mbali. Tazama sura |