Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 138:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 Ee BWANA, wafalme wote wa dunia watakushukuru, Watakapoyasikia maneno ya kinywa chako.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Wafalme wote duniani watakusifu, ee Mwenyezi-Mungu, kwa sababu wameyasikia maneno yako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Wafalme wote duniani watakusifu, ee Mwenyezi-Mungu, kwa sababu wameyasikia maneno yako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Wafalme wote duniani watakusifu, ee Mwenyezi-Mungu, kwa sababu wameyasikia maneno yako.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Wafalme wote wa dunia wakusifu wewe Ee Mwenyezi Mungu, wakati wanaposikia maneno ya kinywa chako.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Wafalme wote wa dunia wakusifu wewe Ee bwana, wakati wanaposikia maneno ya kinywa chako.

Tazama sura Nakili




Zaburi 138:4
14 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha mataifa wataliogopa jina la BWANA, Na wafalme wote wa dunia utukufu wako;


Pindi mataifa watapokusanyika pamoja, Na falme, ili kumtumikia BWANA.


Nitalihubiri jina lako kwa ndugu zangu, Katikati ya kusanyiko nitakusifu.


Miisho yote ya dunia itakumbuka, Na watu watamrejea BWANA; Jamaa zote za mataifa watamsujudia.


Nitawafundisha wakosaji njia zako, Na wenye dhambi watarejea kwako.


Ee Bwana, nitakushukuru kati ya watu, Nitakuimbia sifa kati ya mataifa.


Na hata nikiwa ni mzee mwenye mvi, Ee Mungu, usiniache. Hata niwaeleze watu wa kizazi hiki nguvu zako, Na kila atakayekuja uweza wako.


Naam, wafalme wote na wamsujudie; Na mataifa yote wamtumikie.


Na wafalme watakuwa baba zako walezi, na malkia zao mama zako walezi; watainama mbele yako kifudifudi, na kuramba mavumbi ya miguu yako; nawe utajua ya kuwa mimi ni BWANA, tena waningojeao hawatatahayarika.


Utanyonya maziwa ya mataifa, Utanyonya matiti ya wafalme; Nawe utajua ya kuwa mimi, BWANA, ni mwokozi wako, Na mkombozi wako, Mwenye enzi wa Yakobo.


Malaika wa saba akapiga baragumu, pakawa na sauti kuu katika mbingu, zikisema, Ufalme wa dunia umekwisha kuwa ufalme wa Bwana wetu na wa Kristo wake, naye atamiliki hata milele na milele.


Na mataifa watatembea katika nuru yake. Na wafalme wa nchi huleta utukufu wao ndani yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo