Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 137:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 Twawezaje kuimba wimbo wa BWANA Katika nchi ya ugeni?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Twawezaje kuimba wimbo wa Mwenyezi-Mungu katika nchi ya kigeni?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Twawezaje kuimba wimbo wa Mwenyezi-Mungu katika nchi ya kigeni?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Twawezaje kuimba wimbo wa Mwenyezi-Mungu katika nchi ya kigeni?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Tutaimbaje nyimbo za Mwenyezi Mungu, tukiwa nchi ya kigeni?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Tutaimbaje nyimbo za bwana, tukiwa nchi ya kigeni?

Tazama sura Nakili




Zaburi 137:4
6 Marejeleo ya Msalaba  

Wakati wa kulia, na wakati wa kucheka; Wakati wa kuomboleza, na wakati wa kucheza;


Siku hiyo Bwana, BWANA wa majeshi, akawaita watu walie na kuomboleza, na kung'oa nywele zao, na kuvaa nguo za magunia;


Ndipo utasema moyoni mwako, Ni nani aliyenizalia watoto hawa, na mimi nimefiwa na watoto wangu, nami niko peke yangu, nimehamishwa, ninatangatanga huko na huku? Tena ni nani aliyewalea hawa? Tazama, niliachwa peke yangu; hawa je! Walikuwa wapi?


Hawatammiminia BWANA divai, wala hazitampendeza sadaka zao; mkate wao utakuwa kama chakula cha matanga kwao; wote watakaokila watatiwa unajisi; kwa maana mkate wao utakuwa kwa shauku zao; hautaingia katika nyumba ya BWANA.


Tena nyimbo za hekaluni zitakuwa vilio siku ile, asema Bwana MUNGU; mizoga itakuwa mingi; kila mahali wataitupa, wakinyamaza kimya.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo