Zaburi 136:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Yeye aliyeumba mbingu kwa fahamu zake; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Ndiye aliyeziumba mbingu kwa hekima; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Ndiye aliyeziumba mbingu kwa hekima; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Ndiye aliyeziumba mbingu kwa hekima; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Ambaye kwa ufahamu wake aliziumba mbingu, Fadhili zake zadumu milele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Ambaye kwa ufahamu wake aliziumba mbingu, Fadhili zake zadumu milele. Tazama sura |