Zaburi 136:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Yeye akipaye kila kiumbe chakula chake; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Ndiye akipaye kila kiumbe chenye uhai chakula; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Ndiye akipaye kila kiumbe chenye uhai chakula; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Ndiye akipaye kila kiumbe chenye uhai chakula; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Ambaye humpa chakula kila kiumbe. Fadhili zake zadumu milele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Ambaye humpa chakula kila kiumbe. Fadhili zake zadumu milele. Tazama sura |