Zaburi 136:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Akamwangusha Farao na jeshi lake katika Bahari ya Shamu; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Lakini akawazamisha humo Farao na jeshi lake; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Lakini akawazamisha humo Farao na jeshi lake; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Lakini akawazamisha humo Farao na jeshi lake; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Lakini alimfagia Farao na jeshi lake katika Bahari ya Shamu, Fadhili zake zadumu milele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Lakini alimfagia Farao na jeshi lake katika Bahari ya Shamu, Fadhili zake zadumu milele. Tazama sura |