Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 135:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

6 BWANA amefanya kila lililompendeza, Katika mbingu na katika nchi, Katika bahari na katika vilindi vyote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Mwenyezi-Mungu hufanya chochote anachotaka, mbinguni, duniani, baharini na vilindini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Mwenyezi-Mungu hufanya chochote anachotaka, mbinguni, duniani, baharini na vilindini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Mwenyezi-Mungu hufanya chochote anachotaka, mbinguni, duniani, baharini na vilindini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Mwenyezi Mungu hufanya lolote apendalo, mbinguni na duniani, katika bahari na vilindi vyake vyote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 bwana hufanya lolote apendalo, mbinguni na duniani, katika bahari na vilindi vyake vyote.

Tazama sura Nakili




Zaburi 135:6
13 Marejeleo ya Msalaba  

Najua ya kuwa waweza kufanya mambo yote, Na ya kuwa makusudi yako hayawezi kuzuilika.


Lakini Mungu wetu yuko mbinguni, Alitakalo lote amelitenda.


Shauri la BWANA lasimama milele, Makusudi ya moyo wake vizazi na vizazi.


Maana Yeye alisema, na ikawa; Na Yeye aliamuru, ikaumbika.


nitangazaye mwisho tangu mwanzo, na tangu zamani za kale mambo yasiyotendeka bado; nikisema, Shauri langu litasimama, nami nitatenda mapenzi yangu yote.


Nawe utafukuzwa mbali na wanadamu, na makao yako yatakuwa pamoja na wanyama wa mwituni; utalishwa majani kama ng'ombe, na nyakati saba zitapita juu yako, hata utakapojua ya kuwa Aliye Juu ndiye anayemiliki katika ufalme wa wanadamu, naye humpa amtakaye, awaye yote.


na watu wote wanaokaa duniani wamehesabiwa kuwa si kitu, naye hufanya kama atakavyo, katika jeshi la mbinguni, na katika hao wanaokaa duniani; wala hapana awezaye kuuzuia mkono wake, wala kumwuliza, Unafanya nini wewe?


Kwa maana, angalia, yeye aifanyaye milima, na kuumba upepo, na kumwambia mwanadamu mawazo yake, afanyaye asubuhi kuwa giza, na kupakanyaga mahali pa dunia palipoinuka; BWANA, Mungu wa majeshi, ndilo jina lake.


Yeye ndiye avijengaye vyumba vyake mbinguni, na kuweka misingi ya kuba yake juu ya nchi; yeye ndiye ayaitaye maji ya bahari, na kuyamwaga juu ya uso wa nchi; BWANA ndilo jina lake.


Hata wakati wa zamu ya nne ya usiku Yesu akawaendea, akienda kwa miguu juu ya bahari.


Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo