Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 135:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

5 Maana najua ya kuwa BWANA ni mkuu, Na Bwana wetu yuko juu ya miungu yote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Najua hakika kuwa Mwenyezi-Mungu ni mkuu; Bwana wetu ni mkuu juu ya miungu yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Najua hakika kuwa Mwenyezi-Mungu ni mkuu; Bwana wetu ni mkuu juu ya miungu yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Najua hakika kuwa Mwenyezi-Mungu ni mkuu; Bwana wetu ni mkuu juu ya miungu yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Ninajua ya kuwa Mwenyezi Mungu ni mkuu, kwamba Bwana wetu ni mkuu kuliko miungu yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Ninajua ya kuwa bwana ni mkuu, kwamba Bwana wetu ni mkuu kuliko miungu yote.

Tazama sura Nakili




Zaburi 135:5
13 Marejeleo ya Msalaba  

Bwana wetu ni mkuu na mwingi wa nguvu, Akili zake hazina mpaka.


Bwana ndiye aliye mkuu, Na mwenye kusifiwa sana. Katika mji wa Mungu wetu, Katika mlima wake mtakatifu.


Maana ni nani katika mbingu awezaye kulinganishwa na BWANA? Ni nani afananaye na BWANA miongoni mwa malaika?


Kwa kuwa BWANA ni Mungu mkuu, Na Mfalme mkuu juu ya miungu yote.


Maana Wewe, BWANA, ndiwe Uliye juu, Juu sana kuliko nchi yote; Umetukuka sana juu ya miungu yote.


Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia, na hao wanaokaa ndani yake huwa kama panzi; yeye ndiye azitandazaye mbingu kama pazia na kuzikunjua kama hema ya kukaliwa;


Mtanifananisha na nani, basi, nipate kuwa sawa naye? Asema yeye aliye Mtakatifu.


Basi mimi naweka amri ya kuwa kila kabila la watu, na kila taifa, na kila lugha, watakaonena neno lolote lisilopasa juu ya huyo Mungu wa Shadraka, na Meshaki, na Abednego, watakatwa vipande vipande, na nyumba zao zitafanywa jaa; kwa kuwa hakuna Mungu mwingine awezaye kuokoa namna hii.


Kwa maana BWANA, Mungu wenu, yeye ndiye Mungu wa miungu, na Bwana wa mabwana, Mungu mkuu, mwenye kuogofya, asiyependelea watu, wala kukubali rushwa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo