Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 135:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

3 Msifuni BWANA kwa kuwa BWANA ni mwema, Liimbieni jina lake kwa maana lapendeza.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Msifuni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema; mtukuzeni kwa nyimbo maana inafaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Msifuni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema; mtukuzeni kwa nyimbo maana inafaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Msifuni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema; mtukuzeni kwa nyimbo maana inafaa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Msifuni Mwenyezi Mungu, kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni mwema, liimbieni sifa jina lake, kwa maana hilo lapendeza.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Msifuni bwana, kwa kuwa bwana ni mwema, liimbieni sifa jina lake, kwa maana hilo lapendeza.

Tazama sura Nakili




Zaburi 135:3
12 Marejeleo ya Msalaba  

Maana BWANA ni mwema; Rehema zake ni za milele; Na uaminifu wake katika vizazi vyote.


Haleluya. Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele.


Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele.


Haleluya. Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele.


Wewe U mwema na mtenda mema, Unifundishe amri zako.


Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema; Kwa maana fadhili zake ni za milele.


Haleluya. Msifuni Bwana; Maana ni vema kumwimbia Mungu wetu sifa, Maana ni mwenye fadhili, na anastahili kuimbiwa sifa.


Mpigieni BWANA vigelegele, enyi wenye haki, Kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo.


Nafsi yangu itakinai kama kushiba mafuta na vinono; Kinywa changu kitakusifu kwa midomo ya furaha.


Akamwambia, Kwa nini uniulize kuhusu wema? Aliye mwema ni mmoja. Lakini ukitaka kuingia katika uzima, zishike amri.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo