Zaburi 135:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Haleluya. Lisifuni jina la BWANA, Enyi watumishi wa BWANA, sifuni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Msifuni Mwenyezi-Mungu! Lisifuni jina la Mwenyezi-Mungu, msifuni enyi watumishi wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Msifuni Mwenyezi-Mungu! Lisifuni jina la Mwenyezi-Mungu, msifuni enyi watumishi wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Msifuni Mwenyezi-Mungu! Lisifuni jina la Mwenyezi-Mungu, msifuni enyi watumishi wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Msifuni Mwenyezi Mungu. Lisifuni jina la Mwenyezi Mungu, msifuni, enyi watumishi wa Mwenyezi Mungu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Msifuni bwana. Lisifuni jina la bwana, msifuni, enyi watumishi wa bwana, Tazama sura |