Zaburi 134:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Painulieni patakatifu mikono yenu, Na kumhimidi BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Inueni mikono kuelekea mahali patakatifu, na kumtukuza Mwenyezi-Mungu! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Inueni mikono kuelekea mahali patakatifu, na kumtukuza Mwenyezi-Mungu! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Inueni mikono kuelekea mahali patakatifu, na kumtukuza Mwenyezi-Mungu! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Inueni mikono yenu katika patakatifu na kumsifu Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Inueni mikono yenu katika pale patakatifu na kumsifu bwana. Tazama sura |