Zaburi 132:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Ee BWANA, uinuke, uende kwenye raha yako, Wewe na sanduku la nguvu zako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Inuka ee Mwenyezi-Mungu, nenda kwenye maskani yako; inuka pamoja na sanduku la agano la uwezo wako! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Inuka ee Mwenyezi-Mungu, nenda kwenye maskani yako; inuka pamoja na sanduku la agano la uwezo wako! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Inuka ee Mwenyezi-Mungu, nenda kwenye maskani yako; inuka pamoja na sanduku la agano la uwezo wako! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 inuka, Ee Mwenyezi Mungu, uje mahali pako pa kupumzikia, wewe na Sanduku la nguvu zako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 inuka, Ee bwana, uje mahali pako pa kupumzikia, wewe na Sanduku la nguvu zako. Tazama sura |