Zaburi 132:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Hakika nitavibariki vyakula vyake Wahitaji wake nitawashibisha chakula. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Nitaubariki sana mji wa Siyoni kwa mahitaji yake; nitawashibisha chakula maskini wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Nitaubariki sana mji wa Siyoni kwa mahitaji yake; nitawashibisha chakula maskini wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Nitaubariki sana mji wa Siyoni kwa mahitaji yake; nitawashibisha chakula maskini wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Nitambariki kwa kumpa mahitaji tele: nitashibisha maskini wake kwa chakula. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Nitambariki kwa kumpa mahitaji tele: nitashibisha maskini wake kwa chakula. Tazama sura |