Zaburi 132:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Hapo ndipo mahali pangu pa raha milele, Hapo nitakaa kwa maana nimepatamani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 “Hapa ndipo nitakapokaa milele, ndipo maskani yangu maana nimepachagua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 “Hapa ndipo nitakapokaa milele, ndipo maskani yangu maana nimepachagua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 “Hapa ndipo nitakapokaa milele, ndipo maskani yangu maana nimepachagua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 “Hapa ni mahali pangu pa kupumzika milele na milele; hapa ndipo nitakapoketi nikitawala, kwa sababu nimepaonea shauku: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 “Hapa ni mahali pangu pa kupumzika milele na milele; hapa ndipo nitakapoketi nikitawala, kwa sababu nimepaonea shauku: Tazama sura |