Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 132:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 Kwa kuwa BWANA ameichagua Sayuni, Ameitamani akae ndani yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Mwenyezi-Mungu ameuchagua mji wa Siyoni, ametaka uwe makao yake:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Mwenyezi-Mungu ameuchagua mji wa Siyoni, ametaka uwe makao yake:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Mwenyezi-Mungu ameuchagua mji wa Siyoni, ametaka uwe makao yake:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Kwa maana Mwenyezi Mungu ameichagua Sayuni, amepaonea shauku pawe maskani yake:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Kwa maana bwana ameichagua Sayuni, amepaonea shauku pawe maskani yake:

Tazama sura Nakili




Zaburi 132:13
11 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini sitauondoa ufalme wote pia; nitampa mwana wako kabila moja, kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu, na kwa ajili ya Yerusalemu niliouchagua.


Maana sasa nimeichagua nyumba hii na kuitakasa, ili kwamba jina langu lipate kuwako huko milele; yatakuwako na macho yangu, na moyo wangu daima.


Basi kila mtu katika ninyi nyote mlio watu wake, BWANA, Mungu wake, na awe pamoja naye, na akwee mpaka Yerusalemu, ulioko Yuda, akaijenge nyumba ya BWANA, Mungu wa Israeli, (yeye ndiye Mungu), iliyoko Yerusalemu.


Enyi milima mirefu, kwani kuutazama kwa wivu Mlima alioutamani Mungu akae juu yake? Naam, BWANA atakaa juu yake milele.


BWANA ayapenda malango ya Sayuni Kuliko maskani zote za Yakobo.


Maana mlipiza kisasi cha damu awakumbuka, Hakukisahau kilio cha wanyonge.


Wajumbe wa taifa hilo waletewe jibu gani? Ya kuwa BWANA ameiweka misingi ya Sayuni, na ndani yake wale walioonewa katika watu wake watapata kimbilio kwake.


Bali ninyi mmeufikia mlima Sayuni, na mji wa Mungu aliye hai, Yerusalemu wa mbinguni, na majeshi ya malaika elfu nyingi,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo