Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 131:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

3 Ee Israeli, umtarajie BWANA, Tangu leo na hata milele.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Ee Israeli, umtumainie Mwenyezi-Mungu, tangu sasa na hata milele.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Ee Israeli, umtumainie Mwenyezi-Mungu, tangu sasa na hata milele.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Ee Israeli, umtumainie Mwenyezi-Mungu, tangu sasa na hata milele.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Ee Israeli, mtumaini Mwenyezi Mungu tangu sasa na hata milele.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Ee Israeli, mtumaini bwana tangu sasa na hata milele.

Tazama sura Nakili




Zaburi 131:3
7 Marejeleo ya Msalaba  

Bali sisi tutamhimidi BWANA, Tangu leo na hata milele.


BWANA atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele.


Ee Israeli, umtarajie BWANA; Maana kwa BWANA kuna fadhili, Na kwake kuna ukombozi mwingi.


Heri ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake, Na tumaini lake ni kwa BWANA, Mungu wake,


Mtumainini BWANA siku zote Maana BWANA YEHOVA ni mwamba wa milele.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo