Zaburi 129:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Wapitao nao hawasemi, Amani ya BWANA ikae nanyi, Twawabariki kwa jina la BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Hakuna apitaye karibu atakayewaambia: “Mwenyezi-Mungu awabariki! Twawabariki kwa jina la Mwenyezi-Mungu!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Hakuna apitaye karibu atakayewaambia: “Mwenyezi-Mungu awabariki! Twawabariki kwa jina la Mwenyezi-Mungu!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Hakuna apitaye karibu atakayewaambia: “Mwenyezi-Mungu awabariki! Twawabariki kwa jina la Mwenyezi-Mungu!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Wale wapitao karibu na wasiseme, “Baraka ya Mwenyezi Mungu iwe juu yako; tunakubariki katika jina la Mwenyezi Mungu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Wale wapitao karibu na wasiseme, “Baraka ya bwana iwe juu yako; tunakubariki katika jina la bwana.” Tazama sura |