Zaburi 129:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Ambayo mvunaji haujazi mkono wake, Wala mfunga miganda kifua chake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 hakuna anayejishughulisha kuzikusanya, wala kuzichukua kama matita. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 hakuna anayejishughulisha kuzikusanya, wala kuzichukua kama matita. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 hakuna anayejishughulisha kuzikusanya, wala kuzichukua kama matita. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 kwa hayo mvunaji hawezi kujaza vitanga vyake, wala akusanyaye kujaza mikono yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 kwa hayo mvunaji hawezi kujaza vitanga vyake, wala akusanyaye kujaza mikono yake. Tazama sura |