Zaburi 129:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Na wawe kama majani ya darini Yanyaukayo kabla hayajamea. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Wawe kama nyasi juu ya paa la nyumba, ambazo hunyauka kabla hazijakua, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Wawe kama nyasi juu ya paa la nyumba, ambazo hunyauka kabla hazijakua, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Wawe kama nyasi juu ya paa la nyumba, ambazo hunyauka kabla hazijakua, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Wawe kama majani juu ya paa, ambayo hunyauka kabla hayajakua; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Wawe kama majani juu ya paa, ambayo hunyauka kabla hayajakua; Tazama sura |