Zaburi 129:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Na waaibishwe, warudishwe nyuma, Wote wanaoichukia Sayuni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Na waaibishwe na kurudishwa nyuma, wote wale wanaouchukia mji wa Siyoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Na waaibishwe na kurudishwa nyuma, wote wale wanaouchukia mji wa Siyoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Na waaibishwe na kurudishwa nyuma, wote wale wanaouchukia mji wa Siyoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Wale wote wanaoichukia Sayuni na warudishwe nyuma kwa aibu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Wale wote waichukiao Sayuni na warudishwe nyuma kwa aibu. Tazama sura |
Siku hiyo nitawafanya wakuu wa Yuda kuwa kama kigae chenye moto katika kuni, na kama kinga cha moto katika miganda; nao watateketeza watu wa kila kabila, wawazungukao pande zote, upande wa mkono wa kulia na upande wa mkono wa kushoto; na baada ya haya Yerusalemu utakaa mahali pake, naam, hapo Yerusalemu.