Zaburi 129:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 BWANA ndiye mwenye haki, Amezikata kamba zao wasio haki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Lakini Mwenyezi-Mungu ni mwadilifu; amezikata kamba za hao watu waovu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Lakini Mwenyezi-Mungu ni mwadilifu; amezikata kamba za hao watu waovu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Lakini Mwenyezi-Mungu ni mwadilifu; amezikata kamba za hao watu waovu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Lakini Mwenyezi Mungu ni mwenye haki; amenifungua toka kamba za waovu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Lakini bwana ni mwenye haki; amenifungua toka kamba za waovu. Tazama sura |