Zaburi 129:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Wakulima wamelima mgongoni mwangu, Wamefanya mirefu mifuo yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Walinijeruhi vibaya mgongoni mwangu, wakafanya kama mkulima anayelima shamba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Walinijeruhi vibaya mgongoni mwangu, wakafanya kama mkulima anayelima shamba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Walinijeruhi vibaya mgongoni mwangu, wakafanya kama mkulima anayelima shamba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Wakulima wamelima mgongo wangu, na kufanya mifereji yao mirefu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Wakulima wamelima mgongo wangu, na kufanya mifereji yao mirefu. Tazama sura |