Zaburi 129:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Mara nyingi wamenitesa tangu ujana wangu, Lakini hawakuniweza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 “Nimesumbuliwa vibaya tangu ujana wangu, lakini hawakufaulu kunishinda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 “Nimesumbuliwa vibaya tangu ujana wangu, lakini hawakufaulu kunishinda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 “Nimesumbuliwa vibaya tangu ujana wangu, lakini hawakufaulu kunishinda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 wamenitesa sana tangu ujana wangu, lakini bado hawajanishinda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 wamenionea mno tangu ujana wangu, lakini bado hawajanishinda. Tazama sura |