Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 128:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

5 BWANA akubariki toka Sayuni; Uone uheri wa Yerusalemu siku zote za maisha yako;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Mwenyezi-Mungu akubariki kutoka Siyoni! Uione fanaka ya Yerusalemu, siku zote za maisha yako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Mwenyezi-Mungu akubariki kutoka Siyoni! Uione fanaka ya Yerusalemu, siku zote za maisha yako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Mwenyezi-Mungu akubariki kutoka Siyoni! Uione fanaka ya Yerusalemu, siku zote za maisha yako.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Mwenyezi Mungu na akubariki kutoka Sayuni siku zote za maisha yako, na uone mafanikio ya Yerusalemu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 bwana na akubariki kutoka Sayuni siku zote za maisha yako, na uone mafanikio ya Yerusalemu,

Tazama sura Nakili




Zaburi 128:5
9 Marejeleo ya Msalaba  

Na abarikiwe yeye ajaye kwa jina la BWANA; Tumewabariki toka nyumbani mwa BWANA.


Uombeeni Yerusalemu amani; Na wafanikiwe wakupendao;


BWANA akubariki toka Sayuni, Aliyeziumba mbingu na nchi.


Na ahimidiwe BWANA toka Sayuni, Akaaye Yerusalemu. Haleluya.


Akutumie msaada toka patakatifu pake, Na kukutegemeza toka Sayuni.


Azikumbuke sadaka zako zote, Na kuzitakabali dhabihu zako.


Na mataifa mengi watakwenda na kusema, Njoni, twende juu mlimani kwa BWANA, nyumbani kwa Mungu wa Yakobo, naye atatufundisha njia zake, nasi tutakwenda katika mapito yake maana katika Sayuni itatoka sheria, na neno la BWANA katika Yerusalemu.


Angalia Sayuni, mji wa sikukuu zetu; macho yako yatauona Yerusalemu umekuwa makao ya raha; hema isiyotikisika; vigingi vyake havitang'olewa, wala kamba zake hazitakatika.


Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa roho, ndani yake Kristo;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo