Zaburi 127:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 BWANA asipoijenga nyumba Waijengao wanafanya kazi bure. BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye anakesha bure. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mwenyezi-Mungu asipoijenga nyumba, waijengao wanajisumbua bure. Mwenyezi-Mungu asipoulinda mji, waulindao wanakesha bure. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mwenyezi-Mungu asipoijenga nyumba, waijengao wanajisumbua bure. Mwenyezi-Mungu asipoulinda mji, waulindao wanakesha bure. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mwenyezi-Mungu asipoijenga nyumba, waijengao wanajisumbua bure. Mwenyezi-Mungu asipoulinda mji, waulindao wanakesha bure. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Mwenyezi Mungu asipoijenga nyumba, wajengao hufanya kazi bure. Mwenyezi Mungu asipoulinda mji, walinzi wakesha bure. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 bwana asipoijenga nyumba, wajengao hufanya kazi bure. bwana asipoulinda mji, walinzi wakesha bure. Tazama sura |