Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 126:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

1 BWANA alipowarejesha mateka wa Sayuni, Tulikuwa kama waotao ndoto.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Mwenyezi-Mungu alipoturekebisha na kuturudisha Siyoni, tulikuwa kama watu wanaoota ndoto!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Mwenyezi-Mungu alipoturekebisha na kuturudisha Siyoni, tulikuwa kama watu wanaoota ndoto!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Mwenyezi-Mungu alipoturekebisha na kuturudisha Siyoni, tulikuwa kama watu wanaoota ndoto!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Mwenyezi Mungu alipowarejesha mateka Sayuni, tulikuwa kama watu walioota ndoto.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 bwana alipowarejeza mateka Sayuni, tulikuwa kama watu walioota ndoto.

Tazama sura Nakili




Zaburi 126:1
24 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha BWANA akamrejeshea Ayubu mali yake, hapo alipowaombea rafiki zake; BWANA naye akampa Ayubu mara mbili kuliko hayo aliyokuwa nayo kwanza.


Kama ningemwita, naye akaniitikia; Hata hivyo singeamini kuwa amesikiza sauti yangu.


Katika shida yangu nilimlilia BWANA Naye akaniitikia.


Nayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi?


Nilifurahi waliponiambia, Twende nyumbani kwa BWANA.


Nimekuinulia macho yangu, Wewe uketiye mbinguni.


Kama si BWANA aliyekuwa pamoja nasi, Israeli na aseme sasa,


Wamtumainio BWANA ni kama mlima Sayuni, Ambao hautikisiki, wakaa milele.


Laiti wokovu wa Israeli ungetoka katika Sayuni! BWANA awarudishapo wafungwa wa watu wake; Yakobo atashangilia, Israeli atafurahi.


Laiti wokovu wa Israeli utoke katika Sayuni! MUNGU awarudishapo wafungwa wa watu wake; Yakobo atashangilia, Israeli atafurahi.


BWANA, umeiridhia nchi yako, Umewarejesha mateka wa Yakobo.


Umeusamehe uovu wa watu wako, Umezisitiri hatia zao zote.


Nami nitaonekana kwenu, asema BWANA, nami nitawarudisha watu wenu waliofungwa, nami nitawakusanya ninyi, nikiwatoa katika mataifa yote, na katika mahali pote, nilikowafukuza, asema BWANA; nami nitawaleta tena, hadi mahali ambapo kutoka hapo niliwafanya mchukuliwe mateka.


ndipo nitawatupilia mbali wazao wa Yakobo, na Daudi, mtumishi wangu, hata nisitwae wazao wake watawale juu ya wazao wa Abrahamu, na Isaka, na Yakobo; kwa maana nitawarudisha wafungwa wao, nami nitawarehemu.


Tena, Ee Yuda, wewe umeandikiwa mavuno, hapo nitakapowarudisha wafungwa wa watu wangu.


Kwa maana, angalieni, siku zile, na wakati ule, nitakapowarudisha mateka wa Yuda na Yerusalemu,


Lakini hao waliposikia kwamba yu hai, naye amemwona, hawakuamini.


hao waliwaambia mitume habari ya mambo hayo.


Basi walipokuwa hawajaamini kwa furaha, huku wakistaajabu, aliwaambia, Mna chakula chochote hapa?


Akatoka nje, akamfuata; wala hakujua ya kuwa ni kweli yaliyofanywa na malaika; bali alidhani kwamba anaona maono.


ndipo BWANA, Mungu wako, atakapougeuza utumwa wako, naye atakuhurumia, tena atarejea na kukukusanya kutoka mataifa yote, huko alikokutawanyia BWANA, Mungu wako.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo