Zaburi 125:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Kwa maana fimbo ya udhalimu Haitakaa juu ya nchi ya wenye haki; Ili wenye haki wasije wakainyosha Mikono yao kwenye upotovu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Waovu hawataendelea kutawala nchi ya waadilifu; wasije waadilifu nao wakafanya maovu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Waovu hawataendelea kutawala nchi ya waadilifu; wasije waadilifu nao wakafanya maovu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Waovu hawataendelea kutawala nchi ya waadilifu; wasije waadilifu nao wakafanya maovu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Fimbo ya waovu haitadumu juu ya nchi waliyopewa wenye haki, ili wenye haki wasije wakatumia mikono yao kutenda ubaya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Fimbo ya waovu haitadumu juu ya nchi waliopewa wenye haki, ili wenye haki wasije wakatumia mikono yao kutenda ubaya. Tazama sura |