Zaburi 124:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Na ahimidiwe BWANA; Asiyetutoa kuwa mawindo kwa meno yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Atukuzwe Mwenyezi-Mungu, ambaye hakutuacha makuchani mwao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Atukuzwe Mwenyezi-Mungu, ambaye hakutuacha makuchani mwao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Atukuzwe Mwenyezi-Mungu, ambaye hakutuacha makuchani mwao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Ahimidiwe Mwenyezi Mungu, ambaye hakuruhusu turaruliwe kwa meno yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 bwana asifiwe, yeye ambaye hakuruhusu turaruliwe kwa meno yao. Tazama sura |